TL;DRAbstract
Utafiti huu umechanganua kimofofonolojia nomino-mkopo za lugha ya Kigiryama zinazotokana na lugha ya Kiingereza na kubainisha kanuni zinazoongoza michakato mahsusi. Madhumuni ya utafiti huu ni kutambulisha nomino-mkopo zinazotoka katika lugha ya Kiingereza hadi lugha ya Kigiryama katika shughuli za ukarabati na vifaa vya magari, pikipiki na baisikeli, kudhihirisha michakato ya kimofofonolojia ambayo inapitiwa na nomino-mkopo hizi na kubainisha kanuni za kimofofonolojia zinazodhibiti ukopaji wa nomino kutoka lugha ya Kiingereza hadi lugha ya Kigiryama. Nadharia ambayo iliongoza uchanganuzi huu ni Fonolojia Zalishi Asilia inayoangaziwa na Hooper (1976). Maeneo ya utafiti yaliyoteuliwa ni Bamba, Kaloleni, Kilifi, Malindi na Galana. Sampuli ya magareji yaliyoteuliwa ni yale yanayopatikana karibu na miji ya maeneo mahsusi. Data ya kimsingi ya utafiti ilikuwa nomino-mkopo za lugha ya Kigiryama zinazotokana na lugha ya Kiingereza. Nomino hizi zinazotokana na vifaa na shughuli mba
Chat with Paper
AI Agents for this Paper

Keywords
Chat
Click to start Chat